Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2022

what do we do

ndani nita base na concept ya trading mostly based on crypto currency amayo tutaona faida zake now pia coming ones kikubwa ni kuchambua nini maanz hasa ya crypto pia ni kutafakari juu ya upatikanaji wa faida PIGA CHINI MASWALA YA KUSHINDWA NA PLATFORMS kikubwa nikuelewa kipi unafanya tukiongelea coin ndio kama noti yenyewe hapa hisa yetu hupanda na kushuka within a market chill  things the are about to be awesome so by starting  KIPI KINA HITAJIKA KUANZ RASMI yapo mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuanza trading 1.Elimu 2.Capital not recommanded above 40$ for bigginers 

speak

 truth about fail ni nini hasa first i will guide into fail then winning later chill